Rais
wa Zimbabwe, Robert Mugabe tumesikia mara nyingi akiwa na migogoro na
mataifa ya Ulaya, Marekani ishu kubwa ni kitendo cha Mugabe kuonekana
akiendelea kung’ang’ania madaraka kwa kipindi kirefu.
Video, picha na story kubwa mitandaoni kwa sasa ni ishu ya Rais huyo kuanguka wakati akishuka ngazi baada ya kuhutubia wanachama wake Harare, baada ya kumaliza kuhutubia alisalimiana na viongozi kadhaa wa Chama hicho halafu akawa anashuka ngazi, akaishiwa nguvu na kuanguka chini, walinzi wakamuinua na kumpeleka kwenye gari yake.
No comments:
Post a Comment