Katibu wa mbunge wa jimbo la Kalenga Bw Martine Simangwa kushoto akikabidhi sehemu bati kwa viongozi wa kijiji cha Makota kata ya Mseke
katibu wa mbunge Mgimwa Bw Simangwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Malagosi
Sehemu ya saruji iliyotolewa na mbunge Mgimwa
Mbunge Mgimwa wa pili kulia kulia akikabidhi msaada wa Saruji kwa viongozi wa kata ya Nzihi
Mbunge Mgimwa akiwa katika usafiri wa Baiskeli
MBUGE
wa jimbo la kalenga Gopdfrey Mgimwa ametumia zaidi ya Tsh milioni
42 kutekeleza ahadi mbali mbali zilizoachwa na marehemu babake Dr
Wiliam Mgimwa.
Mbunge
Mgimwa amefananikiwa kutekeleza ahadi hizo ndani ya kipindi kifupi
cha miezi miwili toka alipoapishwa kuwa mbunge wa jimbo hilo
No comments:
Post a Comment