Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Bashir Mrindoko
katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Asha- Rose Migiro na (katikati) Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais- Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB), Bw. Omari Issa.
Naibu
Waziri wa
Viwanda na Biashara, Mhe. Janet Mbene
akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka
mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa
uliofanyika leo Jumatano Julai 23,
2014 katika ukumbi wa Mwalimu
Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Jumanne Sagini.
Naibu Waziri wa
Katiba na Sheria, Mhe. Angellah Kairuki (katikati) akichangia
hoja wakati mkutano wa kupitia
taarifa ya mwaka mmoja
ya utekelezaji wa Mpango wa
Matokeo Makubwa sasa uliofanyika leo Jumatano
Julai 23, 2014
katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini
Dar es Salaam.
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Harrison Mwakyembe (kulia) akichangia akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhe. Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mhe. Mwigulu Nchemba, na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi.
(PICHA NA ISMAIL NGAYONGA- MAELEZO)
No comments:
Post a Comment