Ajali
mbaya sana imetokea changalawe Mafinga express, basi la Majinja lilikuwa
linatoka Mbeya kulelekea Dar es salaam limeangukiwa na kontena
Idadi
kubwa ya abiria wa basi hilo wanakadiriwa kufariki dunia papo hapo baada
ya basi hilo la Majinja Express kugongana na lori na kuangukiwa na
kontena
No comments:
Post a Comment