Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na wawekezaji toka china inakusudia kuanza uchimbaji wa Madini ya Chuma na Makaa ya mawe yaliyopo Mkoa wa Njombe katika vijiji vya Liganga na Mchuchuma mapema mwaka 2014.
Ili kufaninikisha uchimbaji imeonekana kuna umuhimu wa kukarabati barabara na madaraja ili kufanikisha usafirishaji wa mitambo mizito inayofikia tan 150,urefu wa mita 15 na upana wa mita 6.3 kwa baadhi ya mitambo hadi maeneo ya migodi.
PICHA KUTIA SAINI UTENGENEZAJI WA ITONI -LUDEWA.
No comments:
Post a Comment