Friday, May 2, 2014

Sherehe za Mei mosi Mkoa wa Njombe.:....Wafanyakazi waomba kodi ipunguzwe

Jana wafanyakazi waliadhimisha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi,Katika Mkoa wa Njombe wafanyakazi walijitokeza kwa wingi siku hiyo na kuanza Maandamano katika eneo la Bank ya NBC na kutembea zaidi ya Kilometa Mbili mpaka uwanja wa Sabasaba ambapo Sherehe za Maadhimisho hayo yalifanyika.

Picha Zote kwa Hisani na Christopher Philemon.

 Maandamano yanaanza kuelekea uwanja wa Sabasaba







 Mgeni rasmi Bibi Sara Dumba akiwa kwenye picha ya  pamoja na watumishi Hodari.










No comments:

Post a Comment

Popular Posts