Home »
» NEWS ALERT HABARI YA KUSIKITISHA: AJALI YAUA ZAIDI YA 50 LEO MUSOMA
NI MABASI YA MWANZA COACH NA JUMANNE, TUNAOMBA RADHI KWA PICHA
NEWS ALERT HABARI YA KUSIKITISHA: AJALI YAUA ZAIDI YA 50 LEO MUSOMA NI MABASI YA MWANZA COACH NA JUMANNE, TUNAOMBA RADHI KWA PICHA
Mabasi hayo yakiwa yamegongana
Basi la Jumanne lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza coach lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Musoma. Ajali imetokea katika eneo la daraja la sabasaba, Musoma. Endelea kufuatilia
Maelezo kwa Mujibu wa Father Kidevu blog
No comments:
Post a Comment