Baadhi ya askari wa jeshi la polisi
mkoa wa Mara wakiwa nje ya lango la Nyumba ya Baba wa taifa hayati Mwl
Julius Nyerere wakingojea Mwenge wa uhuru ukiwa umechukuliwa kwenda
kuwasha Mwenge wa Mwingo hivi karibuni.
Kiongozi w mbio za Mwenge kitaifa mwaka
2012 kapt Honest Ernest Mwanossa akitamka manane Sisi tumekwisha
uwasha Mwenge na kuuweka mlima Kilimanjaro,baada ya kuwasha Mwenge
uliopo Mwitongo Nyumbani kwa Baba wa taifa hayati Mwl Julius K Nyerere.
No comments:
Post a Comment