Mkuu wa Wilaya Bibi Sara Dumba akiongoza waombolezaji waliojitokeza kwenye mziba wa Bwana Mussa Sichonge.
Kaimu katibu Tawala Mkoa wa Njombe Bwana Richarch Moshi akitoa salamu za rambirambi
na Shukrani kwa waombelezaji.
Waombelezaji wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Bwana Mussa Sichonge.
Safari yaMwisho wa Mwili wa Mussa Sichonge kuelekea Tanga
No comments:
Post a Comment