Mpaka sasa idadi kamili ya vifo vilivyotokana na ajali hii haijatangazwa ingawa baada ya ajali vifo viliyotajwa ni vya watu 6 ambapo ajali hii imehusisha magari mawili aina ya Coaster yanayosafririsha abiria kati ya Mwenge, Tegeta na Mbezi jiijini Dar.
Magari hayo yamegongana na kujeruhi ikiwa pamoja na kuua ajali hii imetokea mchana eneo la Makongo,baadhi ya mashuhuda wa ajali hii wamesema kuwa imesababishwa na uzembe uliofanywa na dereva wa daladala iliyokuwa ikitoka Tegeta kwa kupita upande usio wake.
UZEMBE…uzembe…uzembe ndiyo kauli ambayo ilitolewa na wananchi walioshuhudia ajali mbaya iliyohusisha magari mawili ya abiria (daladala) aina ya Toyota-Coaster maeneo ya Lugalo jijini Dar na kusababisha vifo vya watu sita na wengine 16 kujeruhiwa vibaya.
Uhalisia wa ajali iliyotokea Jumamosi (Juni 21, 2014) na kusababisha vifo vya watu sita na wengine 16 kujeruhiwa vibaya maeneo ya Lugalo. Ajali hiyo ilitokea juzi Jumamosi (Juni 21, 2014) ambapo kwa mujibu wa mashuhuda, chanzo kimetajwa kuwa ni uzembe wa dereva wa daladala iliyokuwa ikitokea Tegeta kwenda Mwenge ambayo ilichepuka na kuingia katika ‘saiti’ ya wanaokwenda Tegeta, ikaigonga ubavuni daladala nyingine iliyokuwa ikielekea
Baadhi ya miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali hiyo.
“Dereva wa Coaster lililotokea Tegeta
alikuwa spidi kuelekea Mwenge, alipoona kuna foleni katika upande wake,
akachepuka ghafla kwenye maungio ya barabara na kulivaa ubavuni Coaster
lililokuwa likielekea Tegeta,” alisema shuhuda huyo.
No comments:
Post a Comment