Baadhi ya makatibu kati wa kata 25 za wilaya ya Ludewa wakiwa katika makao makuu wa CCM Dodoma leo kwa ziara ya mbunge Deo Filikunjombe kwa ajili ya kujifunza jumla ya makatibu kata ya wenyeviti 92 wapo ziarani Dodoma na Dar kwa lengo ya kujifunza na semina
Baadhi ya makatibu wenezi wa CCM kata 25 za jimbo la Ludewa
Baadhi ya wenyeviti wa kata 25 za jimbo la Ludewa wakiwa makao makuu wa CCM Dodoma walipokutana na makamu mwenyekiti wa CCM bara Philip Mangula leo
Makamu mwenyekiti bara Philip Mangula akiwa na mbunge Deo Filikunjombe leo wakitoka makao makuu ya CCM Dodoma baada ya kumaliza ziara yao makao makuu ya CCM leo
No comments:
Post a Comment