MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI TPAW AKIZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI NA
KUWATAKA WAWE NA MSHIKAMANO KATIKA KUDAI HAKI ZAO BWANA SAMWEL HASSAN
MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA TANWAT TPAW BWANA
SAMWEL HASSAN AKIONGEZA NA WAFANYAKAZI HAO KWA KUWASIHI KUHUDHURIA
MIKUTANO AMBAYO CHAMA HICHO HUWA KINAITISHA ILI KUJADILI MASWALA
MBALIMBALI IKIWEMO MISHAHARA KUCHELEWESHWA PAMOJA NA UWEPO WA VIFAA VYA
KAZI KAMA SALE ZA KAZI.
No comments:
Post a Comment