
Waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa kushoto akisalimiana na viongozi wa zaidi 91 wa jimbo la Ludewa mkoani Njombe ambao wamefanya ziara Bungeni Dodoma leo ,jumla ya wenyeviti 25 ,matatibu kata 25 makatibu wenyezi 25 na viongozi wengine wamefanya ziara bungeni leo na makao makuu ya chama kwa ufadhili wa mbunge Filikunjombe kesho ni ziara ya Dar katika mafunzo,katikati anayeshuhudia ni mbunge Filikunjombe
No comments:
Post a Comment