Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera na uratibu wa bunge Wiliam Lukuvi kushoto akiwa ameshika chombo cha maji ya ibada ya mazishi akimsaidia paroko wa kanisa la RC kihesa leo wakati wa ibada ya mazishi ya babake mkwe wa Lukuvi
katibu wa CCM mkoa wa Iringa Hassan Mtenga akitoa heshima zake katika jeneza la mwili wa babake mkwe wa Lukuvi anayefuata nyuma ni mwanahabari Denis Mlowe
Wadau mbali mbali wakiaga mwili wa babake mkwe wa Lukuvi leo
wananchi mjini Iringa wakitoa heshima zao
No comments:
Post a Comment