Monday, June 8, 2015

Msafara wa Makongoro Nyerere wapata Ajali Mbaya Mkoani Kigoma

Image result for AJALI YA MTANGAZAJI NIA WA CCM MAKONGORO NYERERE 
Image result for AJALI YA MAKONGORO NYERERE 


Msafara wa mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Charles Makongoro Nyerere umepata ajali wilayani Kasulu mkoani kigoma mapema leo hii.
Msafara huo uliokuwa ukielekea wilayani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini, ambapo gari walilokuwa wamepanda wasaidizi wa Makongoro ndilo lililopata ajali kwa kupinduka wakati likiwa kwenye mwendo.
Watu waliokuwepo katika gari hilo lililopata ajali wameumia vibaya sana akiwemo Mwandishi wa habari, Cyprian Musiba na kukimbizwa katika hospital ya wilaya ya kasulu (mlimani) kwaajili ya matibabu.
tutaendelea kuwajuza zaidi juu tukio hiloGari lililopata ajali katika msafara wa

No comments:

Post a Comment

Popular Posts